Taifa stars inamalizwa na Usimba na Uyanga.. Tff tupieni macho mapema kabla hali haijawa mbaya

Little brain

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2020
Posts
4,282
Reaction score
6,303
Kulikua hakuna haja ya kujaza wachezaji wa timu za dar kwenye first eleven yetu..kuna wachezaji wengi wanaperform vizuri kwenye league ila hawapati namba kwenye timu ya taifa kwa sababu zisizojulikana.
 
Tariq simba ata benchi alikuwepo kweli?

ila kina sop na mauya wanakuwepo
 
Shida ni kujaza wachezaji wa timu za Dar ama shida nini ndugu?Ngoja nkwambie kitu home boy,ukweli ni kwamba ulichokiona leo ndio kiwango chetu bora katika mpira wa miguu sasa kama ulikuwa na squad lako umelitunza nasikitika kusema kwamba halitakuwa na msaada tena maana Benin kashamfunga Madagascar huko.
 
Shida ni hawa ndugu wanawekwa kwa mazoea
 
Tz ni bora tuwekeze zaidi kuandaa vijana wetu kushiriki michuano ya Chan na Afcon mara nyingi iwezekanavyo ili kupata uzoefu hayo ya world cup bado sana.
 
Vijana wa simba na yanga?
 
Tatizo la wa Tanzania ni kupenda shortcut.. huwezi kwenda world cup kwa wachezaji wasio elite..

Hata congo mwenyewe nakuhakikishia world cup haendi..

Msuva leo alikuwa anasumbua akaingia jamaa wa westham msuva akawa anakabiwa kwa zone ile kiulaya ulaya msuva akajikuta anaruka ruka tu.

Kweli beki wa westham amkabe mshambuliaji anayecheza africa ni fair kweli?
 
Kulikua hakuna haja ya kujaza wachezaji wa timu za dar kwenye first eleven yetu..kuna wachezaji wengi wanaperform vizuri kwenye league ila hawapati namba kwenye timu ya taifa kwa sababu zisizojulikana.
Kina nani hao
Hebu panga first eleven yako
 
Shida ni kujaza wachezaji wa timu za Dar ama shida nini ndugu?Ngoja nkwambie kitu home boy,ukweli ni kwamba ulichokiona leo ndio kiwango chetu bora katika mpira wa miguu sasa kama ulikuwa na squad lako umelitunza nasikitika kusema kwamba halitakuwa na msaada tena maana Benin kashamfunga Madagascar huko.
Sub ya mzamiru ,boko na nyoni zilienda kutukaba tu.
 
Tatizo la wa Tanzania ni kupenda shortcut.. huwezi kwenda world cup kwa wachezaji wasio elite..

Hata congo mwenyewe nakuhakikishia world cup haendi..

Msuva leo alikuwa anasumbua akaingia jamaa wa westham msuva akawa anakabiwa kwa zone ile kiulaya ulaya msuva akajikuta anaruka ruka tu.

Kweli beki wa westham amkabe mshambuliaji anayecheza africa ni fair kweli?
Sio fair kabisa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Benchi la ufundi - bakiza Kim, wengine fukuza wote.

Kim apewe nafasi kuleta wasaidizi wenye viwango vya kimataifa. eti IVO Mapunda kocha wa kina manula - duh.
 
Back
Top Bottom