Little brain
JF-Expert Member
- Oct 31, 2020
- 4,282
- 6,303
Vitalis mayanga msimu huu amekiwasha kama msimu uliopita ila hata kuitwa tu...Himid mao, Thomas Ulimwengu na yule jamaa wa Mbeya Kwanza ni bora kuliko Kibu denis na bocco
Shida ni hawa ndugu wanawekwa kwa mazoeaShida ni kujaza wachezaji wa timu za Dar ama shida nini ndugu?Ngoja nkwambie kitu home boy,ukweli ni kwamba ulichokiona leo ndio kiwango chetu bora katika mpira wa miguu sasa kama ulikuwa na squad lako umelitunza nasikitika kusema kwamba halitakuwa na msaada tena maana Benin kashamfunga Madagascar huko.
Vijana wa simba na yanga?Tz ni bora tuwekeze zaidi kuandaa vijana wetu kushiriki michuano ya Chan na Afcon mara nyingi iwezekanavyo ili kupata uzoefu hayo ya world cup bado sana.
Hata Hispani ya 2010 ilijaa vijana wa Barcelona kwa wingi na Madrid ila walichukua kombe....hamna tatizo na hilo, muhimu wawe wachezaji wenye uwezo mzuri tu.Vijana wa simba na yanga?
Kina nani haoKulikua hakuna haja ya kujaza wachezaji wa timu za dar kwenye first eleven yetu..kuna wachezaji wengi wanaperform vizuri kwenye league ila hawapati namba kwenye timu ya taifa kwa sababu zisizojulikana.
Sub ya mzamiru ,boko na nyoni zilienda kutukaba tu.Shida ni kujaza wachezaji wa timu za Dar ama shida nini ndugu?Ngoja nkwambie kitu home boy,ukweli ni kwamba ulichokiona leo ndio kiwango chetu bora katika mpira wa miguu sasa kama ulikuwa na squad lako umelitunza nasikitika kusema kwamba halitakuwa na msaada tena maana Benin kashamfunga Madagascar huko.
Sio fair kabisa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Tatizo la wa Tanzania ni kupenda shortcut.. huwezi kwenda world cup kwa wachezaji wasio elite..
Hata congo mwenyewe nakuhakikishia world cup haendi..
Msuva leo alikuwa anasumbua akaingia jamaa wa westham msuva akawa anakabiwa kwa zone ile kiulaya ulaya msuva akajikuta anaruka ruka tu.
Kweli beki wa westham amkabe mshambuliaji anayecheza africa ni fair kweli?