Taifa stars inaweza chukua AFCON 2019

If ikitokea.wana JF wote nawanunulia Boeing 737.kwa ajili ya kuendea kazini.(zile za kiafrika lakin)🚢🏼🚢🏼🚢🏼
 
Senegal wameacha wachezaji 10+ wote wanacheza Europe, point yako ya kwanza hoja yako/imeua Uzi wako wote sijataka hata kuendelea kusoma.

Tz tukijitahidi nikuingia group stage,japo mimi kufuzu tu inatosha
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] so funny, very very funny!!! Jamaa mwenyewe anajiita tabu tupu
Anajiita Tabutupu kwa sababu ya watu kama ninyi ambao mnaishi Δ·wa kukata tamaa. Ushindi unaanza na fikra kwanza na mwili ndipo hutenda. Unanyong'onyea hata kujipa moyo!? Nitakuwa na Tabutupu kuwaburuza mahakamani tukitoboa.
 
Umeongea kama malaika.[emoji123]
 
Kupata vichekesho kama hivi jiunge jamiiforum.com
 
Yacine brahim, riyad mahrez hao wawili kwa algeria ni sawa na wetu saba
 
Yacine brahim, riyad mahrez hao wawili kwa algeria ni sawa na wetu saba
Hata usihangaike.. kikosi cha algeria hiki hapa.. watu wanacheza saudi arabia ..
 
Sijakuelewa, unamaanisha tusiwaogope Algeria kwakuwa wachezaji wao wanacheza saudia? Juzi tu walitupiga saba
Sijasema tusiwaogope ila wanafungika mkuu.. wengi wao wanacheza vilabu vya kawaida sana.
 
Umenichekesha hapo kwenye mboga ya kila mtu πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ™Œ πŸ™Œ
 
Sijasema tusiwaogope ila wanafungika mkuu.. wengi wao wanacheza vilabu vya kawaida sana.
Sasa kama Algeria wanacheza vilabu vya kawaida wakwetu wanacheza vya aina gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…