Sijui mimi ndio sifuatilii au la. Ila naona promo ya hii mechi ipo chini sana. Nasikia Taifa stars watacheza na Niger tarehe 18/06/2023. Je, ni kweli?
Kama ni kweli, tunawatakia maandalizi mema ingawa kuna watu walikuwa wanalalamika kikosi hakijatangazwa, lakini siyo mbaya wameamua kufanya sapraizi na mwisho wa siku Stars itapata ushindi.
Viva Stars.