Na wao wawekewe dauTatizo hii timu ikipewa promo tuu inaharibu, bora mambo yafanyike kimya kimya
Ndio tutapigwa 3 bila kabisaNa wao wawekewe dau
Issue siyo promo, issue ni hiyo promo anafanya nani na inafanyikaje. Njia waliyotumia safari hii, kesho uwanja utakuwa mtupu wakati wangeweza kupata watu wa kutosha bila kuwatumia wanasiasa.Tatizo hii timu ikipewa promo tuu inaharibu, bora mambo yafanyike kimya kimya
Sijui mimi ndio sifuatilii au la. Ila naona promo ya hii mechi ipo chini sana. Nasikia Taifa stars watacheza na Niger tarehe 18/06/2023. Je, ni kweli?
View attachment 2659318
Kama ni kweli, tunawatakia maandalizi mema ingawa kuna watu walikuwa wanalalamika kikosi hakijatangazwa, lakini siyo mbaya wameamua kufanya sapraizi na mwisho wa siku Stars itapata ushindi.
Viva Stars.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ha-haSijui ipo stage gani au inashiriki mashindano gani lkn ikifanya vzr gafla upepo utabadilika wanasiasa wote wataanza kujipa majukumu, TFF wataanza yao, sijui kapu la mama, sijui DP(ujombani) watatoa 2M kwa kila goli
Au nadanganya mtoto mzuri[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ha-ha