Katibu mkuu wa wizara ya Utamaduni, sanaa na Michezo Gerson Msigwa, amesema timu ya taifa "Taifa Stars" itarudi nchini kwa makundi na sio kwa pamoja
"Kuna changamoto kidogo ya usafiri. Hatukufanikiwa kupata tiketi za timu nzima kwa mara Moja kwahiyo walioanza kuwasili nchini jana ni wachezaji na viongozi 15. Kuna baadhi yao watafika Leo wengine kesho. Nadhani kundi la mwisho watawasili kesho. Pia kuna wachezaji ambao wamerejea Moja kwa Moja kwenye nchi ambako timu zao wanazochezea" amesema Gerson Msigwa
Nini maoni yako?
Written by Mjanja M1
Hii ndiyo ilikuwa inatafutwa haijalishi ni timu daraja gani , na anacheza au hachezi mara kwa mara .Pia kuna wachezaji ambao wamerejea Moja kwa Moja kwenye nchi ambako timu zao wanazochezea" amesema Gerson Msigwa
Nini maoni yako?
Written by Mjanja M1
Nilisikitika sana kusikia viongozi 15 aiseeπ³π³π³Viongozi 15 wa Nini halafu litimu lenyewe toka mwanzo ilijulikana wanataka mapema kwanini hawakujiandaa mapema.
Nilisikitika sana kusikia viongozi 15 aiseeπ³π³π³
Kwasisi ndugu yangu makada wa chama lazima waendeKam ni viongozi wa Siasa hapo itakuwa maajabu ila kama ni watu wa benchi la ufundi wala haishangazi,
Maana Timu tu ya Al ahly ya Misri yenyewe benchi lao la ufundi lina watu 32 ndo timu inayoongoza kwa africa kuwa na idadi ya viongozi wengi zaidi kwenye benchi la ufundi.
Wachezaji wapo kama 24 halafu viongozi wa kisiasa wanaoenda wapo nusu ya wachezaji, na hawana ishu kwenda kutalii na poshoViongozi 15 wa Nini halafu litimu lenyewe toka mwanzo ilijulikana wanataka mapema kwanini hawakujiandaa mapema.
Walinda kwenye seminarWachezaji wapo kama 24 halafu viongozi wa kisiasa wanaoenda wapo nusu ya wachezaji, na hawana ishu kwenda kutalii na posho
Sent using Jamii Forums mobile app