Taifa Stars leo anafungwa na haifuzu Afcon

Mohammed wa 5

JF-Expert Member
Joined
Jun 20, 2022
Posts
1,215
Reaction score
3,035
Tukutane baada ya mechi

Sis Kama timu Uganda tumejipanga vyema kuhakikisha tunashinda hii mechi yetu.

Viva Uganda

Timu sio kabila una haki ya kushangilia kile unachokipenda KATAA UTUMWA
 
wale taifa stars wala chipsi washinde wapi , mchezo wao nimeushabikia mpaka nikachoka ,nikikumbuka mechi ya mwisho v kenya , nlifika mapema , popcorn mkononi, jamaa waliniabisha kweli aisee wanafungwa home soil.

kuna pisi fulani toka kenya nlikuwa nayo hapo stadium, nlirejesha heshima ya nchi usiku huo angalau , tufungwe uwanjani na mechi nishindwe, aaaahhh potelea mbali alipata kipigo cha kimkakati
 
wale taifa stars wala chipsi washinde wapi , mchezo wao nimeushabikia mpaka nikachoka ,nikikumbuka mechi ya mwisho v kenya , nlifika mapema , popcorn mkononi, jamaa waliniabisha kweli aisee wanafungwa home soil...
Taifa stars ni kibonde ata hawazaminiki usiwaamin utalia, respect mkuu ulituwakilisha vyema
 
Mtani Shadeeya mkeka wako leo umeweka wapi kati ya Staaz na ze kreni ya Uganda🀣🀣🀣

Hawa vijana wanachekesha, wanaua nchi yao
🀣🀣 Mtani mi ni Mtanzania Og. Niko Tanzania bila kujali matokeo yatakuwaje.

Hawa watoto tuishi nao tu hivyo hivyo.
 
Tukutane baada ya mechi

Sis Kama timu Uganda tumejipanga vyema kuhakikisha tunashinda hii mechi yetu.

Viva Uganda

Timu sio kabila una haki ya kushangilia kile unachokipenda KATAA UTUMWA
Ifike mahali Moderators wawe wanafuta hizi tabiri hasi za wanywa gongo kama huyu. Mnaudhi na mnakera sana, why negativity muda wote?
 
Aibu naona mimi..
Hebu tuwe na utu kidogo na ulipozaliwa..
Ww utabaki kuwa mtanzania tuu na hilo li ndui lako ni kovu la maisha hata ukihamia Japan..
 
Aibu naona mimi..
Hebu tuwe na utu kidogo na ulipozaliwa..
Ww utabaki kuwa mtanzania tuu na hilo li ndui lako ni kovu la maisha hata ukihamia Japan..
Bongo bahat mbaya usinilazimishe kupenda unachokipenda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…