Mohammed wa 5
JF-Expert Member
- Jun 20, 2022
- 1,215
- 3,035
- Thread starter
-
- #21
Sipendi vitu vingi,ndoto zangu nikaishi mbali na Tanzania Kuna vitu nikivionana vinanitia Sana hasiraKwani ww hupendi nini tuanzie hapo ili tuone huko unakokwenda kama hakitakuwepo..
Kwenda huko, kama maisha umefeli mwenyewe usisingizie utaifa wako. Haya nenda huko mbali sasa.Sipendi vitu vingi,ndoto zangu nikaishi mbali na Tanzania Kuna vitu nikivionana vinanitia Sana hasira
Npo mbali mkuuKwenda huko, kama maisha umefeli mwenyewe usisingizie utaifa wako. Haya nenda huko mbali sasa.
Dua za shetani kwa Mungu hafui dafuTukutane baada ya mechi
Sis Kama timu Uganda tumejipanga vyema kuhakikisha tunashinda hii mechi yetu.
Viva Uganda
Timu sio kabila una haki ya kushangilia kile unachokipenda KATAA UTUMWA
AahaaaaMechi imeisha tukutane sasa