Taifa Stars: Leo tumecheza na wachezaji wa5 wa ligi kuu ya England

Taifa Stars: Leo tumecheza na wachezaji wa5 wa ligi kuu ya England

poppah

JF-Expert Member
Joined
Dec 19, 2014
Posts
630
Reaction score
548
1.Ihenacho-Man City na ndio mfungaji wa goli

2.Mikeli Obi -Chelsea amepiga mpira mwingi wenye akili lakini haukuzaa matunda

3.Ahmed Mussa-Leicester City kaonekana lakini sio kivile ila msaada wake umeonekana

4.Victor Moses-Chelsea huyu mmhhhhh sijamuelewa kama mipira kalishwa kukaba ndio hajui bora hata Kichuya aliebanwa leo dk zote hajaonekana ila sio huyu Moses

5.Ighalo-Watford huyu jamaa kapiga mpira wa ajabu mno lakini nafasi yake kulikuwa na kisiki cha simba, pale Mohamedi Hussein Tshabalala amemzuia vyema tu hajaweza kuleta madhara mpaka anatoka na kuingiza mwingine

Tumefungwa ila mpira tumecheza japo ulikuwa wa kujilinda kuliko kushambulia, tushukuru kufungwa 1 maana 7 tumechoka aaghh!!!!
 
We ulicheza namba gani?
 
Nimemalizs kuiona hapa supersport 4 wamejitahidi sana!
 
Ni swala la kujivunia kufungwa na mchezaji anachezea man City itabid tufanye sherehe wakirud home
 
Hivi huu mtindo wa kuishia kusema lakin tulicheza vzuri utaisha lini

Maana imekuwa kama wimbo sasa
 
Waganda haoooo wanafuzu upande huu mwingine ni tathmini za walicheza vizuri heheheee.
 
Tulizidiwa kila angle,sisi mpira bado kiukweli sijui tunaweza nn
 
tupo vizuri chenga tumewala ila goli wametufunga
 
Mm ni mdau wa soka na huwa naumia sana timu yangu ya taifa inaposhindwa kufanya vizuri, tatizo lilipo ni moja tuu ni kibwa kwa sababu halijafanyiwa ufumbuzi ila ni dogo sana endapo litapatiwa ufumbuzi, namna ya kuwapata wachezaji professional tanzania na afrika mashariki kwa ujumla ni tatizo, ifahamike kuwa kuna kucheza mpira na kuna kujua kucheza mpira
Suluhisho ni kwenye training yanahitajika mapinduzi na sio kitu kingine, nimengalia wawakilishi wetu jana kiukweli hata first touch ni shiida sasa sijui mtu unaanzaje kushindana na ghana, kiufupi tuangalie ulaya kinaendelea nini katika utengenezaji wa wawachezaji kisha tufanye na huku kwetu hata kwa asilia 60% tuu inatosha kutupeleka afcon, tusihangaike na world cup kabisa hizo ni level hatari, ukipangwa na mjerumani unaweza pigwa 15 ukaweka rekodi isiyofutika
 
Back
Top Bottom