Taifa stars na misri

Kabelwa

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2015
Posts
667
Reaction score
183
wadau hii game inaonyeshwa channel gani!
 
Wazee wa "BURUDANI KWA WOTE" Kupitia chanel ya Azam Sport HD Saa 4 kamili usiku.
 
TBC hovyo sana hawana ubunifu kabisa badala ya kuonyesha vipindi na maudhui yanayopendwa na wengi wao wamenga'ang'ania kuonesha kipindi cha TUNATEKELEZA.

Kwa msingi huu wataendelea kulipwa kodi za wananchi miaka yao yote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…