Taifa stars njia nyeupe AFCON 2019 kazi ni kwetu

Itakuwa hivi wakuu wangu, Taifa stars atakufa kwa Lesotho afu droo na Uganda, Cape Verde atampiga Lesotho na kusonga mbele na point 7 ova! Samahani kwa niliowakwaza ila ukweli ndiyo huo
Yajayo hayafurahishi
 
Mkuu stars haijafungwa na Uganda. Tumecheza nao mechi moja kule kwao na iliisha kwa sare. Tunawasubiri Dar. Stars ndiyo timu pekee kwenye group ambayo haijafungwa na Uganda.
Uganda ipo vizur kweli. Imeifunga Cape verde nje ndani na kuvuna point 6, imeifunga Lesotho nje ndani na kuvuna point 6. Hii ni perfomance ambayo taifa stars haijawah kuwa nayo tangu tupate uhuru.
 
Tutakiane Kheri, tutakiane ushindi, wish tunashinda ushindi mkubwa.
 
Lile goli walilokosa hawa Lesotho dah kama vile kuna mkono wa mtu.

Taifa Stars mwanzo walianza vizuri ila wameanza kujihami na kuwapa nafasi Lesotho wacheze mpira watakavyo.

Kipindi cha pili tutegemee kujihami maana naona hatuwezi kutafuta bao.
 
Hii timu inakeraaaa. Yaani kama vile tunapeleka genge la mashoga kucheza mpira.
Tangu watu wameanza amsha amsha za taifa star dhidi ya Lesotho nilikuwa nawaangalia tu, nilijua kbs we can't make it.
Na gundu lilianza mapema baada ya baba yule kutoa vitisho
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Sema kweli mimi nilipokuwa naona tunakoswakoswa nilikuwa nasikia raha maana tuna ujinga mwingi kuliko kawaida.
Tangu watu wameanza amsha amsha za taifa star dhidi ya Lesotho nilikuwa nawaangalia tu, nilijua kbs we can't make it.
Na gundu lilianza mapema baada ya baba yule kutoa vitisho
 
Reactions: ram
Itakuwa hivi wakuu wangu, Taifa stars atakufa kwa Lesotho afu droo na Uganda, Cape Verde atampiga Lesotho na kusonga mbele na point 7 ova! Samahani kwa niliowakwaza ila ukweli ndiyo huo
Wakuu tafadhalini rudieni kusoma hapa......aje Mganda tutoe droo kwisha kazi. Naombeni radhi tena.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Sema kweli mimi nilipokuwa naona tunakoswakoswa nilikuwa nasikia raha maana tuna ujinga mwingi kuliko kawaida.
Mie sitaki pressure bana, Yanga inipe pressure na taifa star nayo.....nimegoma aisee[emoji38][emoji38][emoji38]
 
Inauma sana hasa inapotokea kufungwa kwa uzembe. Binafsi naona ni uzembe kutoka kwa wachezaji na kocha pia. Huyu kocha nimemchoka kabisa. Halafu nafikiri tuanze kutumia timu ya Zanzibar kama timu ya Taifa
 
Nadhani kwa kuwa M7 ni Mtz basi si vibaya akiwaambia vijana wake watuachie tupite.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…