Taifa Stars planning to play in Iraq?

Alpha

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2007
Posts
688
Reaction score
335
Is it really safe?

The Associated Press: Iraq hosts 1st home soccer match since 2002
 
Tuko karibu level sawa kisoka Iraq (94) na Tanzania (97) world cup fifa ranking!
 
Tuko karibu level sawa kisoka Iraq (94) na Tanzania (97) world cup fifa ranking!

Tumepanda, nafikiri Maximo awaombe Mbrazil tutoe uoga nao, why not and he is from brazil?????
 
Tumepanda, nafikiri Maximo awaombe Mbrazil tutoe uoga nao, why not and he is from brazil?????

Yes, but the question is how safe is it to play in Bahgdad? US troops are pulling out and the bombings continue.

Bombings Kill at Least 3 in Baghdad By VOA News
02 July 2009
Bombings have killed at least three people in the Baghdad area, the first such violence since U.S. troops withdrew from Iraqi cities.
 
Kwani hakuna timu za kucheza nazo? Hapo watakuwa wanatumiwa tu na kulipiwa kila kitu. Kupenda vya bure ..
 
Hata mimi nimeshangaa kuiona hiyo taarifa kwenye mtandao jana! sijasikia TFF ikitangaza kama kuna mechi ya kirafiki around the corner na ambayo inaihusisha Iraq! siyo safe kabisa kuipeleka timu kule na hata tukienda timu itafungwa kwa kiwewe tu cha kuogopa mabomu.

Kisaikolojia tanzania itakuwa imefungwa kabla ya kuingia uwanjani.Hata nikiwa mimi siwezi kucheza kwa amani na wala siwezi kukubali kuitwa timu ya taifa kwaajili ya huo mchezo.
 
Nafikiri wanaweza kuandaliwa kisaikologia na wataalamu na wakacheza mechi nzuri...kuna mtu anadata ya timu Iraq hivi karibuni imecheza na timu zipi tuone kama wako fiti???
 
Nafikiri wanaweza kuandaliwa kisaikologia na wataalamu na wakacheza mechi nzuri...kuna mtu anadata ya timu Iraq hivi karibuni imecheza na timu zipi tuone kama wako fiti???

Iraq juzi wameshiriki confederation cup.
 
Iraq hamna matatizo yoyote sasa wanaweza kwenda kucheza tu. Vyombo vya habari vya magaribi ndivyo vina-report habari mbaya za huko lakini kuko shwari tu sasa.
 
Iraq hamna matatizo yoyote sasa wanaweza kwenda kucheza tu. Vyombo vya habari vya magaribi ndivyo vina-report habari mbaya za huko lakini kuko shwari tu sasa.

What are you talking about there are bombs going off almost every day. It's better than before but it is still dangerous.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…