kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 13,778
- 14,214
Kocha mzungu hakuwa mjinga kumuacha nje Kibu Denis kwenye mchezo wa ufunguzi. Baada ya mgunda na Morocco kuachiwa jahazi Kibu Denis akapangwa kikosi Cha kwanza kabisa dhidi ya Zambia. Ona alikosa clear chances nyingi sana akiwa yeye na golikipa.
Kazi kwisha huko, rudini haraka tuendelee na mambo yetu tuliyoyazoea.
Kazi kwisha huko, rudini haraka tuendelee na mambo yetu tuliyoyazoea.