Kwenye mpira hakuna mungu atasaidia bali ni juhudi ndio zitasaidia.....sasa kazi kwenu je mna juhudiKocha hajui mechi malengo yake ni yapi na jinsi gani ya kufikia hayo malengo.
Tayari umepata goli la kuongoza, baada ya hapo malengo yako ni yapi , kuonyesha uwezo wa pasi a u nia ni kuongeza mabao.
Mchezaji wa upinzani katolewa k wa kadi nyekundu, hivyo wanacheza pungufu, nini mpango wa mchezo wako, kutumia udhaifu wa mpinzani kucheza pungufu, , kuwa chosha ili uweze kuongeza mabao mengi zaidi au kufuata mchezo wao na kuwapa fursa ya kupunguza uchovu wao na kukuadhibu, kama tulivyo adhibiwa jana na Zambia.umebakisha dakika 5 au 10 mpira kuisha, unaongoza moja bila , nini mpango wa mchezo wenu. mnacheza tu kama wehu, Mungu atasaidia .
Hawa makocha walipanga kikosi kwa mihemko, wakachukua kelele za watu mitandaoni wakapanga kikosi.Kocha mzungu hakuwa mjinga kumuacha nje Kibu Denis kwenye mchezo wa ufunguzi. Baada ya mgunda na Morocco kuachiwa jahazi Kibu Denis akapangwa kikosi Cha kwanza kabisa dhidi ya Zambia. Ona alikosa clear chances nyingi sana akiwa yeye na golikipa.
Kazi kwisha huko, rudini haraka tuendelee na mambo yetu tuliyoyazoea.
Kuwatoa akina Himidi Mao na Samata kulikuwa kunalenga nini? kuzuia zaidi au kufunga zaidi?Kocha hajui mechi malengo yake ni yapi na jinsi gani ya kufikia hayo malengo.