Taifa stars : Tatizo kocha , wachezaji, TFF au Serikali

Anzia wizara husika na sera yao kuhusu michezo,chama cha soka chenyewe ,

Maandalizi mabovu kama ulivyo uongozi wa soka nchini,

Wanasiasa kuingilia timu ili kupata umaarufu kisiasa haya yote yamechangia sana timu yetu kufanya vibaya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…