Taifa Stars tukijipanga tunaenda Afcon 2023

bulabo

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2015
Posts
628
Reaction score
780
Nini kifanyike twende AFCON 2023. Tusiwe wanyonge TAIFA STARS tujipange game zote za nyumbani tushinde do or die. Uwezo tunao tukiacha unyonge. Wandishi waisupport timu shida inakuja wandishi wanaleta usimba na uyanga.

Nauhaikika
Algeria afe nyumbani, Uganda afe nyumbani niger afe nyumbani hizo pointi 9 ugenini tusake alama moja tu
 
Kwa hii timu yetu ya tia maji tia maji, tukijitahidi kwenye mechi ya kesho, basi ni sare!
Pale nyuma kama kuna uwezekano, kati ya Dickson Job na Bakary Mwamnyeto, mmoja angeanzia nje! Mimi ni Yanga damu! Ila kwenye ukweli nitasema!

Mwamnyeto anajisahau sana kwenye marking! Halafu Dickson Job kimo kinamtesa, lakini pia ni mwepesi wa kucheza faulo maeneo ya hatari! Sasa kwa washambuliaji aina ya Mahrez, ni rahisi kutuadhibu iwapo mabeki watamsahau.
 
Mahrez hatakuwepo halafu hao mabeki mbona fresh tu.Hivi Job ni mfupi kuliko Fabio Cannavaro?
 
Dick ni 5.6 feet
Screenshot_20220607-222220.jpg
 
Nini kifanyike twende AFCON 2023. Tusiwe wanyonge TAIFA STARS tujipange game zote za nyumbani tushinde do or die. Uwezo tunao tukiacha unyonge. Wandishi waisupport timu shida inakuja wandishi wanaleta usimba na uyanga.

Nauhaikika
Algeria afe nyumbani, Uganda afe nyumbani niger afe nyumbani hizo pointi 9 ugenini tusake alama moja tu
Imani Yako imekuweka huru
 
Back
Top Bottom