Danielmwasi
JF-Expert Member
- May 3, 2021
- 2,134
- 3,834
Kweli kabisa.Last year tumechezaAFCON na kikosi hiki hiki .
Watanzania acheni siasa kocha asepe tutafute kocha mpya, kocha hana uwezo shida yetu ni kuprogress AFCON sio kuingia AFCON acheni siasa
I will be short
Soma Pia: FT: AFCON 2025 Qualification | Tanzania 0-0 Ethiopia | Benjamin Mkapa Stadium | 04-09-2024
Kocha atolewe, benchi lake zima, hana kiwango, hana elimu ya kutosha, hana mafanikio ya kimpira Hana mbinu.
KOCHA HATA LIGI KUU APATI TIMU. 🚮
Uo ni uongo kikosi kilichofuzu afcon na kilichocheza mech dhidi ya ethiopia walicheza ni mabeki tu na viungo wakabaji!!! Yupo wapi sop,mnoga,msuva,samata,morisi,mzamiru,manula,kibuLast year tumechezaAFCON na kikosi hiki hiki .
Watanzania acheni siasa kocha asepe tutafute kocha mpya, kocha hana uwezo shida yetu ni kuprogress AFCON sio kuingia AFCON acheni siasa
I will be short
Soma Pia: FT: AFCON 2025 Qualification | Tanzania 0-0 Ethiopia | Benjamin Mkapa Stadium | 04-09-2024
Kocha atolewe, benchi lake zima, hana kiwango, hana elimu ya kutosha, hana mafanikio ya kimpira Hana mbinu.
KOCHA HATA LIGI KUU APATI TIMU. 🚮
hawa wote si wapo. na mpira wanacheza wanachezaUo ni uongo kikosi kilichofuzu afcon na kilichocheza mech dhidi ya ethiopia walicheza ni mabeki tu na viungo wakabaji!!! Yupo wapi sop,mnoga,msuva,samata,morisi,mzamiru,manula,kibu