Tabutupu
JF-Expert Member
- Nov 26, 2010
- 13,206
- 18,549
Mkifungwa msianze kutafuta wachawi.. huyu sijui manager jana anasema eti wachezaji vijana ni watoto.. na leo naona wamemtoa kwenye banch kelvin John..
Huu ni upuuzi na wivu.. Kijana ana 16 mpeni hata dk 10.
Kama nyie mmezeekwa tz na mnaona dogo anafaidi hili ni tatizo lenu.
Huu ni upuuzi na wivu.. Kijana ana 16 mpeni hata dk 10.
Kama nyie mmezeekwa tz na mnaona dogo anafaidi hili ni tatizo lenu.