Tabutupu JF-Expert Member Joined Nov 26, 2010 Posts 13,206 Reaction score 18,549 Aug 4, 2019 #1 Mkifungwa msianze kutafuta wachawi.. huyu sijui manager jana anasema eti wachezaji vijana ni watoto.. na leo naona wamemtoa kwenye banch kelvin John.. Huu ni upuuzi na wivu.. Kijana ana 16 mpeni hata dk 10. Kama nyie mmezeekwa tz na mnaona dogo anafaidi hili ni tatizo lenu.
Mkifungwa msianze kutafuta wachawi.. huyu sijui manager jana anasema eti wachezaji vijana ni watoto.. na leo naona wamemtoa kwenye banch kelvin John.. Huu ni upuuzi na wivu.. Kijana ana 16 mpeni hata dk 10. Kama nyie mmezeekwa tz na mnaona dogo anafaidi hili ni tatizo lenu.
uhurumoja JF-Expert Member Joined Mar 2, 2014 Posts 9,616 Reaction score 22,521 Aug 4, 2019 #2 Niliangalia game ya kwanza kwa kweli kevin bado kidogo umbo limekuwa dogo sana ila sio mbaya kama ataenda kupiga tizi na wenzake
Niliangalia game ya kwanza kwa kweli kevin bado kidogo umbo limekuwa dogo sana ila sio mbaya kama ataenda kupiga tizi na wenzake
MKUYENGE JF-Expert Member Joined Jun 26, 2019 Posts 4,107 Reaction score 4,612 Aug 4, 2019 #3 Tabutupu said: Mkifungwa msianze kutafuta wachawi.. huyu sijui manager jana anasema eti wachezaji vijana ni watoto.. na leo naona wamemtoa kwenye banch kelvin John.. Huu ni upuuzi na wivu.. Kijana ana 16 mpeni hata dk 10. Kama nyie mmezeekwa tz na mnaona dogo anafaidi hili ni tatizo lenu. Click to expand... Acha mahaba ya kijinga dogo akakomae Kwanza na umiseta.
Tabutupu said: Mkifungwa msianze kutafuta wachawi.. huyu sijui manager jana anasema eti wachezaji vijana ni watoto.. na leo naona wamemtoa kwenye banch kelvin John.. Huu ni upuuzi na wivu.. Kijana ana 16 mpeni hata dk 10. Kama nyie mmezeekwa tz na mnaona dogo anafaidi hili ni tatizo lenu. Click to expand... Acha mahaba ya kijinga dogo akakomae Kwanza na umiseta.
Tate Mkuu JF-Expert Member Joined Jan 24, 2019 Posts 33,092 Reaction score 96,127 Aug 4, 2019 #4 Bi dada, haya mambo huwa hayataki hasira. Kuwa tu mpole. Mechi ya leo ni ya kufa na kupona! Ukisikia utu uzima dawa, ndiyo unatakiwa uonekane mechi ya leo. Iwapo tutafuzu, huenda mwalimu akampanga tena. Yeye ndiye mwamuzi wa mwisho.
Bi dada, haya mambo huwa hayataki hasira. Kuwa tu mpole. Mechi ya leo ni ya kufa na kupona! Ukisikia utu uzima dawa, ndiyo unatakiwa uonekane mechi ya leo. Iwapo tutafuzu, huenda mwalimu akampanga tena. Yeye ndiye mwamuzi wa mwisho.