Kufungwa ni kufungwa tu heri hata wangepata moja....2-0 ni aibu tena kwenu duu tunaidi kushuka chat kwa fifa....kazi kumngangania maximo.....anaendesha timu ya taifa kama klabu na bado....
Ni Mwalimu gani wa Mpira toka Brazil ameshawahi kuipa mafanikio team ya nchi nyingine zaidi ya nchi yao Brazil? Nashangaa tunamng'ang'ania Maximo! Hana jipya sasa na toka zamani