mwembemdogo
JF-Expert Member
- Feb 28, 2016
- 2,282
- 1,252
Kocha / mchezaji wa Yanga/kocha msaidizi yanga Bw.Mkwasa Leo amechezesha wachezaji wa timu yake licha ya kuwa chini ya viwango.
Watanzania tuache ushabiki wa yanga Na simba Na kuwachukia wachezaji wa zuri wa timu nyingine.
Leo Mkwasa ameanua kutuchinjia uwanja wa taiga hivi hivi akiwapanga wachezaji vilaza ili mradi in wa yanga haya bwana.
Yanga 0 Misri 2
Mwinyi ametuangusha sana....alikuwa uchochoro...
Ndiyo, ametuangusha, lakini nilikuwa sitegemei kwamba Mwinyi au beki yeyote wa stars angeweza kummudu Mohamed Salah. Kumbuka Salah kule kwenye club yake ya Roma anawaweka bench strikers wawili wenye majina ...Toti and Dzeko
Yanga ilikuwa na wachezaji wangapi? Azam?Hiyo ni yanga walipewa fursa ya kupeperusha bendera ya taifa..timu IPO kiyangayanga tu
sema kocha alikosea kumweka mwinyi haji co wachezaji wa yanga kwani juma Abdul alivuja?mwinyi haji toka awe injury hajawahi kucheza yang kwenye fomu yake,Kocha anaibeba yanga.... Bora tumetolewa