Balantanda
JF-Expert Member
- Jul 13, 2008
- 12,480
- 4,775
Kama kila kitu kikienda sawa ( hili cable langu famba ) nitawaletea updates za mchezo na kwa wale wenye arab sat nitawapa freq baadae kidogo si unajua tena mmabo ya michebo.
Watch this space....
Bala,
Mtanange utaanza saa mbili usiku kwa saa zetu za JK
Waganga wa kienyeji leo wako busy sio?
Waganga wa kienyeji leo wako busy sio?
Link............???Mechi ishaanza ipo NILE SAT 101 - 102 napata live hapa dakika ya 4 bado 0-0
Link............???[/QU
GOOOOOOOOOOO Tanzania 1 Sudan 0
Captain Henry Joseph anapiga bao dakika ya 10