Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Check live update hapa JF
Wapi hapo mkuu......au mazingaombwe haya...maana nimeikodolea macho posti yako kwa dakika kadhaa sioni kitu. Kuwa muwazi zaidi mkuu....
Wapi hapo mkuu......au mazingaombwe haya...maana nimeikodolea macho posti yako kwa dakika kadhaa sioni kitu. Kuwa muwazi zaidi mkuu....
Dk 27 Sudan wanasawazisha 1-1
Nani kafunga?Dk 25 Taifa Stars 1 Sudan 0
sasa mkuu hicho cha ndimu ndio unakiona pekeyako au?....nilifikiri utatupa linki na sisi tujidai
Kipindi cha pili dakika ya 14 Taifa Stars 2 Sudan 1
Dakika 23 kipindi cha pili Taifa Stars 3 Sudan 1
Ebwana Masatu, yaani hapa nipo kwenye computer yangu nikikusubilia wewe unipe updates, japo baridi. Nitafurai sana kama mambo yataenda hivivi
Poa mkulu nitakuwa nakurushia updates, yaani hapa kuna "feel good factor" kubwa sana watu wameweweseka watoto wanakanyaga ball kama Manu United
Poa mkulu nitakuwa nakurushia updates, yaani hapa kuna "feel good factor" kubwa sana watu wameweweseka watoto wanakanyaga ball kama Manu United
Good commentary mkuu
Tuko pamoja mpaka kipyeeeeeeeeeeeeeeee dk 90
Dakika 23 kipindi cha pili Taifa Stars 3 Sudan 1