Taifa Stars vs Uganda Cranes - Live

Mgosi katoka kaingia Kiggy Makassy
 
Stars wanasawazisha. Cannavaro kafunga kwa kichwa

Uga 1, siye 1
 

Bwana wee...Siasa na Soka ndo vyatuharibu siye,maana Bongo siasa kwenye soka ni kuanzia vijijini mpaka TFF Taifa...We subiri uone huyo kocha atakayekuja mbadili Maximo....Nasikia huyo Muingereza na Msweden ndo wana nafasi kubwa ya kuchukua mikoba ya Marcio...Kama haipo haipo tu,imeandikwa
 
Nurdin bakari (yanga) anaingia, ametoka Erasto Nyoni (azam fc)
 
kumekucha,

Mrisho Ngasa anapachika bao la pili kwa kichwa, kona imepigwa na Abdi kasim babi

taifa stars 2 , Uganda 1
 

hapo unadhani kuna mtu ataenda mfano uingereza siku hizi walivokuwa wachungu? kama mariga wa kenya waliwezaa kumfanyia ivo, siye tusahau..nadhani wanatafuta hilo fungu tu
 
Haya kumekucha tena, saadam juma wa uganda anasawazisha dakika ya 79

uganda 2, siye 2
 
hapo unadhani kuna mtu ataenda mfano uingereza siku hizi walivokuwa wachungu? kama mariga wa kenya waliwezaa kumfanyia ivo, siye tusahau..nadhani wanatafuta hilo fungu tu

10% kila mahala aisee....Mfano mzuri ni Ngassa alivyochemka Wet Ham...Ingekuwa Ufaransa dogo angeenda hata Ligue 2 ama National(Ligue 3)
 
Abdi kassim anatoka, anaingia Ibrahim Mwaipopo
 
Uganda 3 siye 2.

wamejichekesha taifa stars, wakapiga bao dakika 87...ndo twalala ivo wakulu
 
Get updated here

Pape...Hao LiveScores wamelala aisee,maana hakuna update yoyote,na hawajui hata kama game inaendelea ndo maana hawajaweka matokeo yoyote ya game hii,ila kuna updates za game nyingine zinazoendelea time hii
 
Kichwa cha Mwendawazimu chajirudia tartiiiiiiiiiiiiiiiiiiibu.........lol
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…