Taifa stars vs Uganda

Taifa stars vs Uganda

MAKULUGA

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2011
Posts
7,828
Reaction score
10,527
Hivi timu yetu,SI inacheza Leo huko Kampala ,mbona kimyaaa!
 
Mpaka sasa 0-0 Sudan wako vizuri sana, japo we can possibly win
 
Uzalendo umeshuka Sana yaani hakuna mtu wa kuleta matokeo...hata mod hawajauona huu Uzi,wangenirekebishia Uzi wangu
 
Timu ya Mgunda haina jipya. Labda tutavuka maana Wazanzibar wamepigwa na Kenya.
 
FT:
Tanzania 0:0 Sudan

Mechi tatu goli moja tu.
 
Kama TBC yenyewe haioneshi mpira unategemea uzalendo utatoka wapi? Mambo ya uzalendo tuwaachie wakenya maana ingekuwa ndiyo kenya inacheza tungeona mechi inarushwa KBC live
Uzalendo umeshuka Sana yaani hakuna mtu wa kuleta matokeo...hata mod hawajauona huu Uzi,wangenirekebishia Uzi wangu
 
Naogopa hata kuuliza ngapingapi huko,
ila ngoja nijitutumue,[emoji16][emoji23]

"JAMANI TAIFA STARS NGAPI NGAPI HUKO WADAU ?"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uzalendo umeshuka Sana yaani hakuna mtu wa kuleta matokeo...hata mod hawajauona huu Uzi,wangenirekebishia Uzi wangu
Hivi Mkuu timu yenyewe ya sasa inayocheza CECAFA ulishakaa na kuangalia inafanya nini ikiwa Uwanjani?
 
Back
Top Bottom