Taifa stars vs Uganda

Hivi Mkuu timu yenyewe ya sasa inayocheza CECAFA ulishakaa na kuangalia inafanya nini ikiwa Uwanjani?
Mpira wa Bongo Mimi siangaliagi,huwa nasikilizika tu,huko napataga mzuka..nilitaka mpira wa kuangalia naenda mchangani.
 
Mpira wa Bongo Mimi siangaliagi,huwa nasikilizika tu,huko napataga mzuka..nilitaka mpira wa kuangalia naenda mchangani.
Bora aisee mana hiyo timu ni kichefu chefu.

Hapa tusubirie tu hiyo mechi ya Semi Final tuone itakuwaje nayo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…