Taifa Stars wakitua Airport wachapwe viboko kwa kuaibisha nchi

Taifa Stars wakitua Airport wachapwe viboko kwa kuaibisha nchi

chotera

JF-Expert Member
Joined
May 19, 2016
Posts
6,560
Reaction score
15,864
Hawa jamaa wamefungwa kizembe sana, kwanza wametumia kodi zetu vibaya na huu ni uhujumu uchumi.

Wanafaa wakifika watandikwe viboko ili wajue kuipigania nchi sio kuchekacheka hovyo uwanjani.
 
Hawa jamaa wamefungwa kizembe sana, kwanza wametumia kodi zetu vibaya na huu ni uhujumu uchumi.
Wanafaa wakifika watandikwe viboko ili wajue kuipigania nchi sio kuchekacheka hovyo uwanjani.
Hamsemi madhaifu ya kocha, tena muuwa ache, kafungwa italy itakuwa tz. Hamuoni km tunasonga mbele.??? Kufunwa ni matokeo!!!!!!! Eeeeeehhhhh.we mwanao akitoka shule, kila siku kapata biyee biyee biyee , utatathmin vipi kiwango cha elimu ya mwanao?
 
Back
Top Bottom