Hamsemi madhaifu ya kocha, tena muuwa ache, kafungwa italy itakuwa tz. Hamuoni km tunasonga mbele.??? Kufunwa ni matokeo!!!!!!! Eeeeeehhhhh.we mwanao akitoka shule, kila siku kapata biyee biyee biyee , utatathmin vipi kiwango cha elimu ya mwanao?Hawa jamaa wamefungwa kizembe sana, kwanza wametumia kodi zetu vibaya na huu ni uhujumu uchumi.
Wanafaa wakifika watandikwe viboko ili wajue kuipigania nchi sio kuchekacheka hovyo uwanjani.