Taifa Stars yachangiwa Bilioni 1.6 ili wafuzu kombe la dunia

Wanawadekeza sana hao wachezaji. Wanakula kodi zetu kifalafala sana.
 
Ni ndoto kwa Taifa Stars kwenda Kombe la Dunia 2022 ambapo ni sawa na Wapinzani kuchukua nchi mwaka 2025!

Hizo pesa zitoke TFF sababu wanazo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…