Solution ni ku-eliminate politics from soka, Tz yetu hii siasa zimeharibu kila idara...elimu, michezo, afya, mazingira, etc etc,we talk alot!!! utekelezaji hamna, TUNABAHATISHA tuu!!
Nakwambia yule Maximo angekuwa hajaletwa na serikali, so far tok kipindi aje tungekuwa tumebadilisha makocha kama sita hivi!!
Dawa ya kwanza ni tutenganisha siasa na michezo jamani!!, leo hii Taifa cup tunaambiwa na Kandoro sio michezo ya ''kukuza vipaji'', inhali Mizengo alisema vyake, TBL walisema vyao, TFF walisema vyao..tutafika kweli??
Sijajua kwenye michuano inayoendelea ya soka ya Coca Cola under 17 kama team zetu kubwa (simba na yanga) wanayatupia macho!!...lakini goshhh!!, ata wawachukue vijana palle wataishia kuwatelekeza tu kama kin Kiemba!!
Hiyo ndio soka ya Bongo!!