babayao255
JF-Expert Member
- Apr 4, 2019
- 11,632
- 29,912
Enjoy mpira safi wa dada zetu hawa😂😂😂Yara yara yara yarah
Blah blah blah blah
“CCM Stars” is not Taifa Stars that used to be!
Get that in your dome!
Peace out!
Enjoy mpira safi wa dada zetu hawa[emoji23][emoji23][emoji23]
Eti anamikiki 😂😂😂 decision za kijinga.Who cares?
Ni wewe na wenzako,kuna akina sisi huku tulishaacha kushabikia vitu anamiliki Bashite!
Please respect our decisions,ndio uhuru huo!
Eti anamikiki [emoji23][emoji23][emoji23] decision za kijinga.
Ok endelea kutoipenda.Stars inamilikiwa na Bashite,thats a FACT!
Kuigeuza Stars chombo cha siasa ya chama,ndio kumetufanya tuache kuipenda!
Sisi kuacha kuipenda nashangaa it works you guys out like railroad works!
Relax,unaipenda Stars,good for you,sisi hatuipendi,good for us!
Thats simple!
Utateseka sana utabaki sawa na mke anaefanya vitimbi ili aachika lakini taraka apewi ndo weweMkuu
Acha unafiki!
Ni timu ya CcM,unajitia ni timu ya taifa zima?
Ilikua timu ya taifa zima 2015 kurudi nyuma!
Hili unalijua unakataa kinafiki tu!
To be precise ni timu ya bwana “dasalama mkoa wangu”!
You know dat nigga!
Yayo maono yako lakini ckwel kama sasa hv inachukiwa unachukia ww tu ingechukiwa watu wangejaa uwanjan na ndo timu inayofanya vizur kuliko miaka yote iliopitaNdio mwenye timu,yeye na ccm na serikali takatifu ya awamu ya tano!
Ndio ilivyo!
Ndio maana timu ya taifa imekua inachukiwa this time than any other time in history!
Shida ndio hiyo!
Tatizo watu mmejaa unafiki mnajifanya hamuoni!
Kwahiyo mashabiki wa simba wapo elfu 60 tu Tanzania nzima kwa kua ckuzile walijaa watu elfu 60 na yanga au azam ambao walio jaza kufikia elfu 50 tu unataka kutuambia mashabiki wao ndo elfu 50 tu na chenji?. Kweli upinza umeishiwa hoja za msingi wamebaki kupinga tu ili mradi apingeWanajaa according na takwimu gani?
Na watu milioni 60 wanaweza kujaa uwanjani?
Wanaoenda uwanjani ni 60k tu karibu 1% ya nchi!
The rest 98% una assume wote tunaipenda kwa lipi?
Ilipofungwa juzi ilikua ni vigelegele all across the country,unajua sababu?
Shida ni kuchanganya unifying events za nchi na kikundi kidogo cha siasa!
Thats the problem!
Usiseme hujui hili maana mmejaa unafiki!
Na mimi najiongelea mwenyewe,otherwise ni maoni kwendana na ninavyoona mimi binafsi yangu,huna haja ya kufatilia nachosema!
Watu kama wewe ndio mnafanya upinzani waendelee kupoteza ushawishi,
Hivi capacity ya ule uwanja ni ngapi?
Watanzania wote wanaenea ule uwanja?
Ulikuwepo jana uwanjani?
Kama hujaenda uwanjani basi hata na picha na videos hujaona?
Chuki zako na serikali zinakupeleka vibaya sana,
Unajikuta kuandika upuuzi hapa ili uonekane una andika cha maana kumbe ni bonge la mshamba tu ambaye kichwa chake kimejaa chuki,
Alafu eti unasema wanajaa kwa takwimu zipi [emoji23][emoji23][emoji23] kama hujui kusoma hata video na picha huzioni.
Yayo maono yako lakini ckwel kama sasa hv inachukiwa unachukia ww tu ingechukiwa watu wangejaa uwanjan na ndo timu inayofanya vizur kuliko miaka yote iliopita
Utateseka sana utabaki sawa na mke anaefanya vitimbi ili aachika lakini taraka apewi ndo wewe
Yani kwa timu hii haponi mtu majiran watajua kati ya wali na ugali kipi chakula kitam hahahhaah[emoji23][emoji23][emoji23]
Hao wadada wa Kilimanjaro Queen hawana mpinzani hapa East and central Africa.Yani kwa timu hii haponi mtu majiran watajua kati ya wali na ugali kipi chakula kitam hahahhaah