Source07
Senior Member
- Oct 5, 2018
- 196
- 353
Baada ya Tff kuachana na Ammunike kama kocha mkuu wa Timu ya Taifa,kocha wa muda amepatikana nasasa aliyewahi kua kocha wa Azam fc na Simba Sc, raia wa Cameroon, Joseph Omogi amekabidhiwa jukumu lakuinoa Timu ya Taifa ya Tanzania,Taifa stars!
Omogi ataanza rasmi kuionea timu hiyo mwezi huu,huku akitarajia kuita majina ya wachezaji wanaocheza ligi ya ndani mapema zaidi tayari kwa kuweka kambi ya maandalizi ya kufuzu kucheza CHAN!
Ni OMOGI sasa ndie interim coach nini mawazo yenu wanamichezo?ikizingatiwa Omogi siyo mgeni na soka la Bongo tofauti na alivyokua Ammunike,je matumaini kwake yapo?