Taifa stars Yakabidhiwa JOSEPH OMOGI!

Source07

Senior Member
Joined
Oct 5, 2018
Posts
196
Reaction score
353
Baada ya Tff kuachana na Ammunike kama kocha mkuu wa Timu ya Taifa,kocha wa muda amepatikana nasasa aliyewahi kua kocha wa Azam fc na Simba Sc, raia wa Cameroon, Joseph Omogi amekabidhiwa jukumu lakuinoa Timu ya Taifa ya Tanzania,Taifa stars!
Omogi ataanza rasmi kuionea timu hiyo mwezi huu,huku akitarajia kuita majina ya wachezaji wanaocheza ligi ya ndani mapema zaidi tayari kwa kuweka kambi ya maandalizi ya kufuzu kucheza CHAN!
Ni OMOGI sasa ndie interim coach nini mawazo yenu wanamichezo?ikizingatiwa Omogi siyo mgeni na soka la Bongo tofauti na alivyokua Ammunike,je matumaini kwake yapo?
 
TFF hawajui wanachokifanya, hawajui wanataka nini.
 
Mlitakaje... !??Naona mnatupa lawama tu kama mpo vilabuni...
 
Atainoa timu kwa wachezaji wapi?

Ova
 
TFF hawajui wanachokifanya, hawajui wanataka nini.
Timu ile ya Vijana waliyotinga fainali gabon
Ile ndy ilitakiwa iendelezwe tokea kipindi kile......sahv wangekuwa mbali
Ila timu ilitelekezwa

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…