KELVIN GASPER
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 1,066
- 454
Nilipoiona first 11 nikajua tunachezea kichapo!!!!ile sicho kikosi utawapelekea Mamba hata siku moja!!!labda Malawi huko
Marcio MaximoHivi Kocha Wa stazz ni nani vile??
Nilipoiona first 11 nikajua tunachezea kichapo!!!!ile sicho kikosi utawapelekea Mamba hata siku moja!!!labda Malawi huko
Hivi Kocha Wa stazz ni nani vile??
Acha pumba, kocha wa stars sio rais mpaka wazalendo wote wamjue!, hana tofauti na kocha wa darts, bao au draft, ambao hata wewe huwajui!, wengine hapa tukiona mpira tunashangaa kuona watu wanapagawa kwa mchezo wa kijinga!, hebu jiulize, kuna raha gani mtu mzima na akili zake akikimbia na mpira unaodunda dunda?, si upuuzi huo? Mwenye akili hawezi kuwa shabiki wa mpira wa miguu, bora hata mpira wa kiume!Ni wewe...acha upuuzi,haiwezekani mtanzania mzalendo ukakosa kumjua kocha wa stars...</b></font>