Taifa stars yauwa

Taifa stars yauwa

Yona F. Maro

R I P
Joined
Nov 2, 2006
Posts
4,201
Reaction score
236
Timu ya taifa ya tanzania , taifa stars imeiuwa timu ya taifa ya cape vede kwa mabao 3 kwa moja --- hongera taifa stars
 
Timu ya taifa ya tanzania , taifa stars imeiuwa timu ya taifa ya cape vede kwa mabao 3 kwa moja --- hongera taifa stars

Tunakumbuka shuka alfajiri...........
 
ni YANGA au TAIFA STARS maana hiyo line up karibu yote ni Yanga
 
ni YANGA au TAIFA STARS maana hiyo line up karibu yote ni Yanga

Cha msingi tumeshinda.Basi.Kama yanga ndo wanauwezo?Mbona line yote ni ya Yanga na Bado tukashinda?
 
Back
Top Bottom