Yona F. Maro R I P Joined Nov 2, 2006 Posts 4,201 Reaction score 236 Oct 11, 2008 #1 Timu ya taifa ya tanzania , taifa stars imeiuwa timu ya taifa ya cape vede kwa mabao 3 kwa moja --- hongera taifa stars
Timu ya taifa ya tanzania , taifa stars imeiuwa timu ya taifa ya cape vede kwa mabao 3 kwa moja --- hongera taifa stars
M Masatu JF-Expert Member Joined Jan 29, 2007 Posts 3,276 Reaction score 131 Oct 11, 2008 #2 shy said: Timu ya taifa ya tanzania , taifa stars imeiuwa timu ya taifa ya cape vede kwa mabao 3 kwa moja --- hongera taifa stars Click to expand... Tunakumbuka shuka alfajiri...........
shy said: Timu ya taifa ya tanzania , taifa stars imeiuwa timu ya taifa ya cape vede kwa mabao 3 kwa moja --- hongera taifa stars Click to expand... Tunakumbuka shuka alfajiri...........
Belo JF-Expert Member Joined Jun 11, 2007 Posts 12,897 Reaction score 10,213 Oct 12, 2008 #3 ni YANGA au TAIFA STARS maana hiyo line up karibu yote ni Yanga
Calnde JF-Expert Member Joined Oct 7, 2008 Posts 1,373 Reaction score 278 Oct 12, 2008 #4 Belo said: ni YANGA au TAIFA STARS maana hiyo line up karibu yote ni Yanga Click to expand... Cha msingi tumeshinda.Basi.Kama yanga ndo wanauwezo?Mbona line yote ni ya Yanga na Bado tukashinda?
Belo said: ni YANGA au TAIFA STARS maana hiyo line up karibu yote ni Yanga Click to expand... Cha msingi tumeshinda.Basi.Kama yanga ndo wanauwezo?Mbona line yote ni ya Yanga na Bado tukashinda?