TAIFODI

TAIFODI

ashy me

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2017
Posts
460
Reaction score
299
habar wadau nauliza ni ipi tiba ya taifod sugu..... Sasa nmeugua taifod mara kwa mara toka mwaka uanze n mara ya tano nkitumia dawa napoa baada ya mwez inarud... Nakunywa maji yalochemshwa jpo hapo awal migahawan nlikuwa Nakunywa yoyte Ila nliacha.... Ni mwez tu umepita nlikunywa sipro zkagoma.... Nikanywa clavam ndo nikapoa Ila Sasa naon dalil tn za taifod.... Je n kwel hosp hawatib ugonjwa huu hutuliza... Naomba ushauri ht dawa za asili kuponya ugonjwa huu
 
Nitafute mimi nipate kukutibia kwa dawa zangu za asili uweze kupona haraka.
Ukiwa na Shida yoyote ile
Usipo pona kwa Dawa za Hospitali nitafute mimi nipate kukutibia upate kupona ukihitaji matibabu yangu
Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano Herbalist Dr. MziziMkavu Email barua ya pepe.fewgoodman@hotmail.com What's App +905344508169 Au Ni add Kwa Facebook tumia jina hili mzizimkavu. Au boonyeza hapa.Herbalist MziziMkavu
 
Back
Top Bottom