MTZ 255Dar
JF-Expert Member
- Sep 25, 2018
- 1,149
- 3,963
Rais wa Taiwan Tsai Ing-wen kufanya ziara nchini Marekani huku China ikilaani kitendo hicho cha kuitaka kuitenga Beijing na kisiwa hicho chenye utawala wa ndani.
Katika ziara hiyo Weng atasimama katika miji ya Newyork na California ambapo atakutana na speaker wa Bunge la Marekani Mu Republican Mc Canty kabla ya kuzizuru nchi za Guantamala na Belize. Taiwan inatambuliwa na jumla ya nchi 14 kama nchi huru.
Wiki iliyopita China ililaani kitendo cha waziri wa Elimu wa ujerumani kuitembelea Taiwan.
Tsai Ing-wen plans to visit allies in Central America at the end of the month, making two unofficial stops in the US. Taiwan president announces trip to the Americas, stirring concern