amoc thedon
JF-Expert Member
- Jul 19, 2016
- 345
- 531
Jaman Wana jukwaa poleni na majukumu .
Kama kichwa kinavyo jieleza hapo juu ..gari langu limekua na tatizo la kugonga gonga nakuutoa kishindo maeneo ya taili la mbele upande wa kushoto.
Binafis me sio mzoefu wa magari maana ndo mala yangu ya kwanza namiliki. Kama week2 zmepita nilienda kwa fundi akaniambia sijui ni joint ndo imeisha tukabadili , kweli tatzo liliisha , lakin baada ya week 1 limerejea tena ..
Na hilo tatzo nmejalibu kufanya observation nimegundua Linatokea hasa ninapokua napita njia yenye mabonde ya mtaan kwangu .lakin nikifika kwenye njia nzuri linatoweka ama litasikika kwa mbali sana
Naombeni mwenye ufahamu anisaidie ni tatzo gani na namna ya kulitatua
Nawasilisha.