EdwinSN
Member
- Aug 21, 2012
- 86
- 54
Wakuu salama!
Kuna hizi tairi nyembamba na kikanyagio kipana "LOW PROFILE" ambazo nyingi naziona zinafungwa kwenye SPORT RIMS na magari kama alteza, verossa n.k. Hizi tairi ni rafiki na zinadumu kwenye Barabara zetu hizi za viraka vya kila leo!!!?? au tunaiga tu!!
Kimuonekano zipo safi sana, ila naomba kujua usalama, durability ukizingatia na hali halisi ya barabara zetu.