Nyingi ni fake mkuu, OG hazina hayo matatzoHizo tairi sio rafiki wa bara bara za mashimo. Nilikuwa nakaribia Sekenke, saa tisa usiku nikakanyaga kishimo bara barani, tairi mbili za upand mmoja zikapasuka. Kwa vile nilikuwa na spea moja, ilinilazimu kulala porini usiku huo hadi pakuche!
Mkuu uandikaji wako umenifanya nisielewe point zakoTaili zinakaz tatu
1. Kutoa mnyumbuliko Wa uzito Wa gari na kurahisisha mseleleko Wa injini
2. Kuhimili joto la ardhi na msuguano
3. Urembo kwenye gari
========
Ubora haupimwi Kwa unene au wembamba Bali Elasticity na nyuzi zilizomo kwenye tair, pia kwenye taili kuna expire date muwe mnaangalia!
Mataili mengine hayafai nchi za joto au barabara za vumbi!
Taili pana inarinda Rim na ina pendezesha gari!
CHAGUA TAILI IMARA KWA USALAMA WAKO
Tetra aft gd4tttttjtt 5 5k544Wakuu salama!
Kuna hizi tairi nyembamba na kikanyagio kipana "LOW PROFILE" ambazo nyingi naziona zinafungwa kwenye SPORT RIMS na magari kama alteza, verossa n.k. Hizi tairi ni rafiki na zinadumu kwenye Barabara zetu hizi za viraka vya kila leo!!!?? au tunaiga tu!!
Kimuonekano zipo safi sana, ila naomba kujua usalama, durability ukizingatia na hali halisi ya barabara zetu.
Jamaa matata ndio nani huyo?Nasikia rim zunazouzwa na jamaa matata haPa mjini ndizo zinaongoza kwa kupinda na kupasuka...kama mihogo iliyokauka au chaki
Taili zinakaz tatu
1. Kutoa mnyumbuliko Wa uzito Wa gari na kurahisisha mseleleko Wa injini
2. Kuhimili joto la ardhi na msuguano
3. Urembo kwenye gari
========
Ubora haupimwi Kwa unene au wembamba Bali Elasticity na nyuzi zilizomo kwenye tair, pia kwenye taili kuna expire date muwe mnaangalia!
Mataili mengine hayafai nchi za joto au barabara za vumbi!
Taili pana inarinda Rim na ina pendezesha gari!
CHAGUA TAILI IMARA KWA USALAMA WAKO
sio kweli nimeshuhudia tairi kama hzo hasa landcruiser v8 na range tairi zake zinasumbua sana na ni brand bora kabisa kifupi tairi hizo sio rafiki kwa huku kwetu labda kama gari unatumia mara moja au mbili kwa wikiNyingi ni fake mkuu, OG hazina hayo matatzo