dyuteromaikota
JF-Expert Member
- Apr 30, 2013
- 5,929
- 8,327
Tairi zipi zinatakiwa kujazwa upepo zaidi kati ya za mbele na za nyuma?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kipimo kipo lkn kama ujuavyo wataaramu wetu wa kibongo, utaenda sehemu ya kwanza kujaza upepo atakwambia mbele upepo uwe pungufu kidogo kuliko taili za nyuma. Ukienda sehemu ingine watasema kinyume chake. Ndo maana nkaja huku nipate jibu la kitaalamuHazina kipimo?
Tairi zote zinatakiwa kujazwa upepo sawa na gari nyingi vipimo sahihi vimeandikwa kwenye mlango wa dereva ukiufungua. Hii mbele na nyuma kuwa tofauti ni uswahili wetu.Tairi zipi zinatakiwa kujazwa upepo zaidi kati ya za mbele na za nyuma?