Kipimo kipo lkn kama ujuavyo wataaramu wetu wa kibongo, utaenda sehemu ya kwanza kujaza upepo atakwambia mbele upepo uwe pungufu kidogo kuliko taili za nyuma. Ukienda sehemu ingine watasema kinyume chake. Ndo maana nkaja huku nipate jibu la kitaalamu
Tairi zote zinatakiwa kujazwa upepo sawa na gari nyingi vipimo sahihi vimeandikwa kwenye mlango wa dereva ukiufungua. Hii mbele na nyuma kuwa tofauti ni uswahili wetu.