Ingawaje wote wana ajenda moja ya kuipinga China lkn huo mzigo umebebwa na shirika LA ndege LA chinaShehena ya kwanza ya msaada wa Taiwan kwa India kusaidia nchi hiyo kukabilina na wimbi la maambukizi ya virusi vya corona imeondoka leo kwenda mjini New Delhi ikiwa na mashine 150 za kupumua na mitungi 500 ya hewa ya Oksijeni...
Geopolitically, China ziko mbili.Ingawaje wote wana ajenda moja ya kuipinga China lkn huo mzigo umebebwa na shirika LA ndege LA china
👊Geopolitically, China ziko mbili.
China mojawapo inafahamika rasmi kama People's Republic of China ama kwa kifupi PRC. Hii ndiyo China inayoongozwa na Xi Jinping.
Pia kuna China nyingine ambayo rasmi inafahamika kama Republic of China, kwa kifupi ROC ama kwa jina jingine Taiwan. Hii ndiyo China inayozungumziwa hapa. Pia ndege inayozungumziwa ni ya shirika la ndege la Taiwan ama Republic of China
Nilikua silijui hiloGeopolitically, China ziko mbili.
China mojawapo inafahamika rasmi kama People's Republic of China ama kwa kifupi PRC. Hii ndiyo China inayoongozwa na Xi Jinping.
Pia kuna China nyingine ambayo rasmi inafahamika kama Republic of China, kwa kifupi ROC ama kwa jina jingine Taiwan. Hii ndiyo China inayozungumziwa hapa. Pia ndege inayozungumziwa ni ya shirika la ndege la Taiwan ama Republic of China.