The Evil Genius
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 6,017
- 19,506
Ni kweli naona ni wajinga, hata india nao ni wajinga, canada, australia,uk,france etc....hebu tuone alliance wake wa karibu sana kama russia, cuba kama wao watamuunga mkono?Ni wajinga tu wanacheza ngoma ya mabeberu hao sweden ndio malaika kwamba hawawezi kufanya udukuzi? Kama vipi wajenge mitambo yao ya 5G na wasiwe tegemezi.
Beggers cannot be choosers
Ni kweli naona ni wajinga, hata india nao ni wajinga, canada, australia,uk,france etc....hebu tuone alliance wake wa karibu sana kama russia, cuba kama wao watamuunga mkono?
Naona ndugu wamekula kona mkuu hahaha maana naona Moscow kimya kabisa, hata Asia yenyewe ambapo ndipo alipo bado sijasikia muungaji mkonoKwa habari yako China hana rafiki kwa sasa hata wale waliokuwa na urafiki nae kwa nia ya kutaka kumuangusha Mmarekani wameshtuka mkuu
Naona ndugu wamekula kona mkuu hahaha maana naona Moscow kimya kabisa, hata Asia yenyewe ambapo ndipo alipo bado sijasikia muungaji mkono
Taiwan anaongea sanaWaziri wa digitali wa Taiwan amesema Huawei ni kirusi cha kichina au Trojan horse kutoka China na ni hatari kuitumia kwenye mfumo wa mawasiliano ya nchi
Waziri huyo ambae zamani alikua muiba taarifa za kimtandao ama kwa kimombo hacker anasema wao Taiwan walishaliona hilo la Huawei muda mrefu toka mfumo wa 4G ulipozinduliwa nchini humo na kuipiga marufuku Huawei isishiriki kwa namna yoyote ile
Taiwan imeipa kandarasi kampuni ya Sweden ya Errickson kutengeneza mitambo ya 5G nchini humo
Taiwan’s digital minister depicts Chinese telecom equipment as ‘Trojan Horse’ | Taiwan News
Ulitegemea Taiwani watamuunga mkono China?Ni kweli naona ni wajinga, hata india nao ni wajinga, canada, australia,uk,france etc....hebu tuone alliance wake wa karibu sana kama russia, cuba kama wao watamuunga mkono?
Mimi binafsi sijashangaa alichoamua Taiwani, adui muombee njaa na ndicho afanyacho Taiwani. Tena kwa case ya Taiwani, Huawei ni pretex to their hidden agenda.Hawa ni ndugu wapinzani
Nalog off
Ujumbe wangu umeelewa lakin ama umekurupuka tu toka lumumba bila kuusoma? Rudi tena kasome na uelewe nilikua nimetoa ujumbe ama nilikua namjib mtuUlitegemea Taiwani watamuunga mkono China?
Ulichoquote ni swali, ungejibu tu.Ujumbe wangu umeelewa lakin ama umekurupuka tu toka lumumba bila kuusoma? Rudi tena kasome na uelewe nilikua nimetoa ujumbe ama nilikua namjib mtu
Kwa sababu yeye ameuliza kana kwamba nilihamak kuona Taiwan kusimama upande wa washingtonUlichoquote ni swali, ungejibu tu.