Taja avatar inayokusisimua hapa na uielezee

Iceberg kumbe ni wewe tunahangaika muda wote hongera Sana Ooh afadhali umetoa jibu ubarikiwe
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Unapotea mchana kweupeeeeeee [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] ngoja aje Chakorii uone au utamsikia atakavyo ni diss
 
Yaan mi nashangaa huo msisimko anaoupata kwa picha za amberose ice ana vituko tu anataka kunichota akili
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Sikuchoti akili banah, humu jf mtu akiweka avatar basi juwa kuna aina fulani hivi ya mfanano na mhusika wa kwenye avatar, [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] We waza tu nakuchota akili [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23],
 
Yaan mi nashangaa huo msisimko anaoupata kwa picha za amberose ice ana vituko tu anataka kunichota akili
Halafu lile jukwa letu pendwa siku hizi limepotelea wapi itabidi Maxence Melo atuamvie tunafanyaje banah, sasa we ni msaulifu sana safari ya msisimko ilianzia kule unajua[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]......
 
Iceberg9 wewe ni jirani yangu wa miaka mingi sana..hebu ongea ukweli jirani unafikiri unaweza kuwa wewe na nisikwambie!!!aise kwako wewe sijawahi kuwa na uvumilivu wa Yesu pale msalabani amini usiamin[emoji28]
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Unajua siri ya moyoni ni ya mtu binafsi, umeficha nahisi hata huyo mwingine ni lazima ungeniambia, mbona unatuwekea kitendawili watu wazima na ndevu zote hizi
 
Nilishamwambia ujue...πŸ˜…πŸ˜…naona haamini
 
Jirani yangu nikikwambia wewe hiyo sio siri tena na kwa ninavyokujua lazima utamwambia tu...bora ibaki kuwa siri ya kambi milele hakuna namna.
 
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Kana siri hako Chakorii hata mimi sijui
πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†chizi kabisa wewe ujue...unasema hako kwa sababu kashotii eee..nakwambia jirani kuuona ufalme wa mbinguni ni ngumu sana labda ukute siku hiyo sipo getini mai furendi
 
Ngoja tuone Mungu atamchukua nani [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787], ni heri hawa ndugu zako wataenda mtu chake , T 1990 ELY , Karma , Espy , Extrovert ila wewe mbinguni huendi
 
Ngoja tuone Mungu atamchukua nani [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787], ni heri hawa ndugu zako wataenda mtu chake , T 1990 ELY , Karma , Espy , Extrovert ila wewe mbinguni huendi
Tena kwa taarifa yako unaweza kukuta mimi ndo Manager on duty nimekaa nakula chipsi kuku na bwana yesu huku tukichagua majina ya watakaoenda kuurithi ufalme,nikikuona tu imekula kwako figisu nitakayoileta ni zaidi ya urusi dhidi ya marekani.πŸ˜†πŸ˜†
 
Shida ya @Miss Renee anabadilisha kila leo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…