Taja Baa ambazo zina Totooz za maana kiasi kwamba hata ukiumwa na Mbu husikii maumivu yoyote

Makongoro grocery Kona ya bwiru Kuna mzigo balaa was kihaya nyungunya Kama inataka kudondoka, flex, Dv8, diamond
 
Rejea tu Kichwa cha habari ( Headline ) hapo juu kisha tiririka na serereka zako tu Mkuu.

Hapo kwenye neno Totooz nimemaanisha Warembo ( Wanawake wazuri wazuri ) tafadhali.

Nawasilisha.
Njoo hapa kwetu pazuri tabata
 
Rejea tu Kichwa cha habari ( Headline ) hapo juu kisha tiririka na serereka zako tu Mkuu.

Hapo kwenye neno Totooz nimemaanisha Warembo ( Wanawake wazuri wazuri ) tafadhali.

Nawasilisha.
Matumizi mabaya ya muda kafanye Kazi tujenge Taifa letu acha utoto
 
Wanabodi nimefika Maswa hapa, hebu nipeni chimbo la watoto wakali huku jamani namimi nifurahi leo tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…