Fall Army Worm
JF-Expert Member
- Jan 8, 2015
- 19,355
- 14,408
Wapendwa sana wana JF,hbr za siku nyingi?,Km mada inavyojieleza,naomba kila mmoja wetu ataje jina la basi ambalo huwa anapenda kulitumia pindi atokapo Jiji la Dar es Salaam kwenda mikoani,nasi tutajua anatokea mkoa upi.
Matharani mimi huwa napenda kupanda Njombe express au Majinja au Happy nation au Majinjah,hivyo kwa mtaalamu wa sekta ya usafirishaji wa njia ya basi tayari atakuwa anajua mimi natokea mkoa upi.Karibuni sasa.