Fall Army Worm
JF-Expert Member
- Jan 8, 2015
- 19,355
- 14,408
Toto ya chuga hujambo?Chakito long way!
Vuka chuga njoo nchi ya maziwa na asaliToto ya chuga hujambo?
Wapi siku hizi mrembo?...au bado Nairobi?Vuka chuga njoo nchi ya maziwa na asali
Kisbo SafariWapendwa sana wana JF,hbr za siku nyingi?,Km mada inavyojieleza,naomba kila mmoja wetu ataje jina la basi ambalo huwa anapenda kulitumia pindi atokapo Jiji la Dar es Salaam kwenda mikoani,nasi tutajua anatokea mkoa upi.Matharani mimi huwa napenda kupanda Njombe express au Majinja au Happy nation au Majinjah,hivyo kwa mtaalamu wa sekta ya usafirishaji wa njia ya basi tayari atakuwa anajua mimi natokea mkoa upi.Karibuni sasa.
Uchizi mwingi sanaWatoto wa shule ya sekondari wameingia JF.
Tz,Wapi siku hizi mrembo?...au bado Nairobi?
Hoja Yako Haijaungwa MkonoWapendwa sana wana JF,hbr za siku nyingi?,Km mada inavyojieleza,naomba kila mmoja wetu ataje jina la basi ambalo huwa anapenda kulitumia pindi atokapo Jiji la Dar es Salaam kwenda mikoani,nasi tutajua anatokea mkoa upi.
Matharani mimi huwa napenda kupanda Njombe express au Majinja au Happy nation au Majinjah,hivyo kwa mtaalamu wa sekta ya usafirishaji wa njia ya basi tayari atakuwa anajua mimi natokea mkoa upi.Karibuni sasa.