A asumpta Member Joined May 18, 2012 Posts 46 Reaction score 8 May 18, 2012 #2 Dawa zipo nyingi inategemea na ugonjwa kama ni fungus au bacteria infections,kuwa ongeza maelezo.
Rogie JF-Expert Member Joined Nov 22, 2010 Posts 7,586 Reaction score 6,697 May 18, 2012 #3 pole, ila kwani wewe unasumbuliwa na nini hasa mpaka uulize dawa ya ugonjwa wa ngozi wa aina yoyote. Nenda kwa hospital mkuu
pole, ila kwani wewe unasumbuliwa na nini hasa mpaka uulize dawa ya ugonjwa wa ngozi wa aina yoyote. Nenda kwa hospital mkuu
Globu JF-Expert Member Joined Jan 12, 2011 Posts 8,659 Reaction score 2,227 May 19, 2012 #4 Funguka Mkuu, ni ugojwa wa namna gani? Uko sehemu gani ya mwili, sio kila dawa ya ngozi inatibu maradhi. Weka wazi tukusaidie. Weka na dalili zake.
Funguka Mkuu, ni ugojwa wa namna gani? Uko sehemu gani ya mwili, sio kila dawa ya ngozi inatibu maradhi. Weka wazi tukusaidie. Weka na dalili zake.
Moyibi JF-Expert Member Joined May 11, 2012 Posts 1,054 Reaction score 701 May 29, 2012 Thread starter #5 kwenye miguu inakua kama inatengeneza weusi fulani dats all